Duration 6:12

ALICHOKISEMA TUNDU LISSU MAHAKAMANI KUHUSU KESI YA URAIS TLS

100 816 watched
0
362
Published 13 Mar 2017

Mbunge wa Singida Mashariki ana Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, amefunguka mambo mbalimbali kuhusu kesi ya kuzuiwa kugombea urais, iliyofunguliwa na mwanasheria Wasonga, akipinga kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika

Category

Show more

Comments - 51
  • @
    @octavianijoseph4037 years ago Big up xana tundu lisu unajitaidi hongera mwanasheria wetu. 1
  • @
    @justinemgomi95617 years ago Asante lissu na imani na wewe rudisha utawala wa sheria. 2
  • @
    @arodnjenje76337 years ago Nakuelewaga sana coz unajua unachokifanya. 1
  • @
    @jamesmgasa40127 years ago Mimi lisu nakukubali sana. Najua uko sahihi kwa kila unacho fanya. Sheria ni tofaut na siasa.
  • @
    @amoctheboy96497 years ago Mtu anauliza et lissu lini utashughulikia jimbo lako. Ama kweli watanzania tumefanywa mazuzu sasa nayeye awe kama makonda abebe miwaandishi ya habar au . ...Expand 2
  • @
    @marblebaswige6147 years ago Big up lissu wenda utawala wa kisheria ukarejea tanzania.
  • @
    @mhagamayohana65267 years ago Wanakuongopa wewe ni moto mkali sana
    tunakushukulu kwa kutupigania watanzania mahana tunapata shida sana baba.
    1
  • @
    @mottofoundationinc.34927 years ago Huyu mjama mbali na hiyo elimu ya sheria he is very talented guy. 3
  • @
    @bregediatermboy21077 years ago Siku moja nitakuw kama ww lissu ndo mwanasiasa pekee nnae kuangalia na kuku fuatilia. 1
  • @
    @josephmwakabungu83857 years ago Isingekuwa ni maslahi ya chama na chama tundu lisu anafaa sana kuwa rais cha wanasheria nchini. Kwa uelewa wa sheria alinao angekisaidia chama cha wanasheria . ...Expand
  • @
    @abdallahnamahala81377 years ago Mimi kosa matatizo ya kuongea (kigugu mizi) ningekuwa mwanasheria kam lissu na kibatala.
  • @
    @smataluqwertyu1i6247 years ago Rais wa tanzaniaa miaka ijayooi lema godbles. 1
  • @
    @rukiarswidu8347 years ago Tls (tundu lissu singida) yan hata majina yako yanaendana kabisa na kuwa rais wa tls. 2
  • @
    @gervasmoses24647 years ago Nakuamini sanaa ww ndiye mwanasheria unayejua kufuata sheria na taratibu zote za nchi na unajitahid sana kupigana kwaajili ya haki za watanzania. 3
  • @
    @mathayomkumbuchile28087 years ago Nikimaliza masters yangu ya linguistics nitaanza kusoma sheria ili niwe kama lissu. 3
  • @
    @rukiarswidu8347 years ago Tls is abbreviation of tundu lissu sheria. Yan hata nina lake linaendana kabisa na kuwa rais wa tls.
  • @
    @kafitoonline62967 years ago Haya majitu bhn kila kitu yanajifanya majuaj nayapa dole la. Ti.
  • @
    @KUTOKA-ep2fk7 years ago Festo mamboleo mkubali wewe na umwamini wewe inatosha ili ikiwezekana umwombe aje akupangilie namna ya kuishi na mke wako pia maana ni msomi kwa mujibu wa kauli yako.
  • @
    @renatuskanunu83057 years ago Samahan mh. Lissu hivi lini unashughulika na jimbo lako walau hata kusema tu kuhusu jimbo lako. I am so tired.
  • @
    @festomamboleo25147 years ago Tundulisu wewe ni msomi mkubwa unayejua kutetea haki za watanzania cjui kwanini hii nchi haitaki kubaki kwenye ukweli ili wakuamini maana kama kusumbuana na serikali umeweza vzr na unajua kupangilia hoja vzr. 12
  • @
    @masumbukosiyougomvi79007 years ago Msumbufu kwer du kila kaz unataka! Wasom hatuna? Migabe ipo shaz.
  • @
    @ayoubrogath42977 years ago Hahahahaha we ni mwanasiasa tu hujawahi tetea haki yangu wala hujawahi tetea wanyonge hujawahi tetea masikini ila ni siasa tu maana ww sio masikini sio mnyonge kwa hiyo wadanganye hao ulioteka akili zao.
  • @
    @amoctheboy96497 years ago Mtu anauliza et lissu lini utashughulikia jimbo lako. Ama kweli watanzania tumefanywa mazuzu sasa nayeye awe kama makonda abebe miwaandishi ya habar au . ...Expand 2
  • @
    @josephmwakabungu83857 years ago Isingekuwa ni maslahi ya chama na chama tundu lisu anafaa sana kuwa rais cha wanasheria nchini. Kwa uelewa wa sheria alinao angekisaidia chama cha wanasheria . ...Expand