Duration 26:11

Rais Magufuli tena kuhusu sakata la dawa za kulevya, agizo jipya kuhusu Watanzania waliofungwa nje

200 981 watched
0
590
Published 13 Feb 2017

Rais John Pombe Magufuli alizungumza wakati wa kuapishwa kwa Kamishna mpya wa kupambana na dawa za kulevya pamoja na mkuu mpya wa Uhamiaji Tanzania ambapo moja ya alivyovisema ni kuhusu dawa za kulevya na Watanzania.

Category

Show more

Comments - 112