Duration 26:14

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU DSM 20 OCTOBER 2019

31 023 watched
0
213
Published 20 Oct 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Mathias Bazi Kabunduguru kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bwana Gerald Godfrey Mweli kuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI anayeshugulikia Elimu na Bwana Ali Sakila Bujiku kuwa Balozi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Oktoba 20, 2019

Category

Show more

Comments - 60