Duration 13:11

LIVE: GLOBAL HABARI AUGUST 14 - MAGUFULI APEWA TUZO YA HESHIMA NA KANISA LA TAG

1 961 watched
0
8
Published 14 Aug 2020

🔴#LIVE: GLOBAL HABARI AUGUST 14 - MAGUFULI APEWA TUZO YA HESHIMA NA KANISA LA TAG RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amepewa tuzo maalum ya heshima na Baraza Kuu la Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) kwa jinsi alivyolishughulikia janga la Covid-19. Rais Magufuli amepewa tuzo hiyo wakati wa mazungumzo na viongozi wa baraza kuu la kanisa la T.A.G jijini Dodoma katika ukumbi wa chuo cha Biblia Miyuji. Akizungumza wakati wa kutolewa kwa tuzo hiyo Askofu mkuu wa Kanisa la TAG amesema baraza limeamua kutoa tuzo hiyo kwa kutambua jinsi alivyoliongoza taifa letu kumtegemea Mungu aktika kipindi kigumu cha janga la Corona. Baada ya kupokea tuzo hiyo Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kutoa wito kwa viongozi wa dini kuwahimiza waumini wao kushiriki kwenye uchaguzi mkuu hasa katika zoezi la kupiga kura. April 14 mwaka huu Rais Magufuli alitangaza kwa Watanzania kuwa ameamua kutenga muda wa siku tatu za kufanya maombi maalum kwa ajili ya kuliombea Taifa ili Mungu atuepushe na janga la Corona. Msomaji Felista Massae ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 2