Duration 10:53

ZARI ATHIBITISHA TIFFAH KUROGWA/AMWAMBIA MAMA DIAMOND MUACHE MWANANGU WATAMROGA/HAMISSA AHUSISHWA

11 175 watched
0
107
Published 10 Aug 2020

#ZARI #HAMISSA #BORAMEDIA

Category

Show more

Comments - 84
  • @
    @ayshabayun90144 years ago Safi sn bibi yk tiffah do something that makes you happy. Love u zari. 5
  • @
    @zimuzordera4 years ago Warogwe ndio mzuri ili waache kuwa nataja uchawi au kurogwa kila mara, ujinga mtupu tu. Ndo hivo wanaamshaga mizimu mahali zinalala zikisha wajia wanaanza . ...Expand
  • @
    @joyanambuya36954 years ago Hao. Watutu huwo jamani zari. Yupo sahihi na mam dangote yupo sahihi hila ss watanzania atuachi kiherehere si tuwaache na maisha yao jamani fatuma hata kwenu hilo swala lipo. Mam au bibi anaweza kumpend mtot moja. ...Expand 2
  • @
    @queennanalexabrembo74454 years ago Da tuma leo mm ni wakwanza naitaj lnk zenu jaman. 1
  • @
    @felistersmejumaa51884 years ago Zari uzee wakusumbua zeeka pole na wacha kujipendekeza kwa familia.
  • @
    @pamelaakinyi47694 years ago Kwani munamlazimisha mama dangote kupost mtoto wa hamisa. 3
  • @
    @fofonadia36574 years ago Ndomana sipendi anakauli mbaya kwa watu.
  • @
    @roseatieno66914 years ago Zari hawezi rogwa wakati yeye ndo mganga pamoja na mume wake marehemu. Hataree. 3
  • @
    @ROSEROBERTROBART4 years ago Zari hajataja mtu, kwani hamisa ni mchawi, nynyi mna mambo. 6
  • @
    @mariyammariyam72094 years ago Wacha kuamini mambo ya kishirikiana ww mtoto wa kislamu na wajuwa kuna mungu iweje bibi kumroga mjukuu wake.
  • @
    @fetychina32734 years ago Mh! Diamond kuwakomoa zari awe wakwanza hamisa wapili ili wafyate mikia yao.
  • @
    @hadijasaidi77094 years ago Jamani ukoo huu pasua kichwani huu udunia dunia huu utawapeleka pabaya wasiwaloge watoto wa bakharesa wamloge mtoto wa ndomo kazi jamani. 1
  • @
    @justinjoshua10594 years ago Tuachini kelele, mama t hajamtaja mtu. Mwenye atajiisi ndomchawi. 5
  • @
    @tarsilalukas65054 years ago Aache uwongo. Mama daihamisa aisadii. Yeye siyo mondi. Amezaa na mondi ajazaa na. Mama dangote. Huyo zaridaimond. Akimrudia. Ajue amisa yupo tu. 5
  • @
    @editakivuti58874 years ago Zari ni wa freemason pamoja na diamond, let us continue following, hakuna kitu ya saitani ya bure.
  • @
    @princessshannia42154 years ago Hii dunia hakika hamisa ana nyota mbaya, yeye ni mabaya tukha. 6
  • @
    @llgg10424 years ago Mmmhh kumekucha
    ila mm sijaona tatizo balitu kitu cha mama dangote kumpost mjukuu sio tatizo bali nimapenzi ya mjukuu kwasabab zari ndo aliemfanya bal tu zari awe mpole kuliko kusem vibaya kwasabab hain maana. ...Expand
  • @
    @reymattasweety94404 years ago Yuko sahihi kusema atarogwa coz kuna macho mabaya yanayo mtazama na kuna midomo mibaya inayomsema vyote hivyo ni uchawiwa ndumba hausumbui coz huyu ana kuroga yulehabari yake. Lakini macho mabaya na midomo mibaya ufanye kazi kweli coz aliekudhuru ndie huyo anaetakiwa akutibie hapo chachaa. ...Expand 3
  • @
    @michelinemapendo66524 years ago Zari frimanson mukubwa kapana mumewake kafara frimanson anasahau? Hamisa kapana wangapi?
  • @
    @simonitaagesti36574 years ago Washindwe kulogwa watoto wa bakharesa au mo wajee kumloga huyo mtoto kwa kipi huyu bibi sa nyingine anamajivuno sijui angekua beyonce ingekuaje duh.
  • @
    @azizasaleh66244 years ago Jamani akumtaja mtunina nyie ndo mnakuzamambo mh atri.
  • @
    @junuferjinu14444 years ago Nyie mashabiki ndomna matatizo yy aja mtaja mtu mna jiisi. 1
  • @
    @muanashaswaleh51104 years ago Kwani wewe tuma kwanini huseme amisa huko tanzania hakuna wachawi kilasiku amisa punguzeni umbea. 1
  • @
    @mercyganim40574 years ago Hiyo ni kweri kabisa maana wake wenza ni sumu. Mimi niko na wake wenza na hatupendani kabisa. 1
  • @
    @julianacharles60144 years ago Ukimjuwa mchawi basi nawewe mwanga unawanga nae mshenzi huyo bibi.
  • @
    @julianacharles60144 years ago Alijuwaje kama anarogwa kama nayeye siyo mchawi.
  • @
    @mariacassian78924 years ago Ndio mtamroga hasa maana nyota ya tifa sio ya huyo mtoto wa vi make up.
  • @
    @michelinemapendo66524 years ago Zari frimanson mukubwa kapana mumewake kafara frimanson anasahau? Sasa hamisa kapana wangapi? 1
  • @
    @marynoella17524 years ago Huyo anaye kataliwa sikumoja atakuja kuwa wamana ndiyo mama dangote anasababu zake zakufanya ivo but ipo siku atatamani amu post nahitowezekana.
  • @
    @bahatisunga16424 years ago Shoneni midomo watangazaji maana nyie kwa umbea na uchonganishi hamshindwi hasa wewe tuma.
  • @
    @reymattasweety94404 years ago Watu mkisikia kurongwa mnafikiri mtu mpaka aende kwa mganga!!!kuna kurogwa kwa husda ambacho ni kitu kibaya kuliko uchawi wa husda inatokana na macho ya watu.Tiffa ni mtoto mdogo anapowekwa mitandaoni kwa sana kuna macho ya wengi yanamtazama sasa kuna macho mema na macho mabaya.endapo yakimpata macho mabaya huo ndio uchawi wenyewe.Tiffa wetu atadhurika.Asiwekwe mitandaoni Midomo ya watu na macho ya watu yana mchawiya bure mtoto Tiffa.watu kusikia kurogwa akili zao zote zinafikiria uchawi wa karumanzira tuuuu basi. .. ...Expand 2
  • @
    @editakivuti58874 years ago Plz zari stop applying makeup to this kid utamwalibu ngozi, she is too young for this. 1
  • @
    @chakupewafazili40744 years ago Mweye ndo munasema hamissa muchawi kwasababu zari ajataja mtu. 1