Duration 2:48

Sirro awahakikishia ulinzi wakazi Mtwara

672 watched
0
3
Published 6 Apr 2020

Mkuu wa Jeshi la polisi nchini (IGP) Simon Sirro amewahakikishia ulinzi na usalama wananchi wa mkoa wa Mtwara na kuwataka wafanye kazi zao bila hofu yoyote. Ameyasema hayo leo Aprili 6, 2020 wakati wa ziara ya viongozi wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini yenye lengo la kuangalia namna walivyojipanga kukabiliana na uhalifu ndani ya nchi na mipakani. “kitendo cha kuona wanakuja wanachinja watu wetu lazima ifike mahali tuseme mwisho na iwe mwisho. Wao wametangaza ligi. Wametangaza mapambano lazima na sisi tuwe tayari kwa mapambano”. Amesema Sirro.

Category

Show more

Comments - 1