Duration 3600

Mambo ya Fashion kwa Mwanamke Mkakamavu.

861 watched
0
9
Published 30 Oct 2020

Follow me kwenye Instagram @skarabaeus79 kwa Mambo ya Fashion. kwani hata kama Umeolewa, Unawatoto haimanishi kuwa ubaki mchafu, bila Style yoyote, hapana, Wewe ni Mzuri na Mungu anakupenda kama ulivyo. Kabla sijatoa Video ya Fashion , jinsi ya kuvaa hata kama Mfupi, mnene , mwembamba, nitapenda kusikia maoni yenu, kwani Mke mrembo apendwa pia na Mungu, na Mumewe Pia. Tena nitamkaribisha Mgeni ambaye ataongelea mambo ya Fashion, ni Model, amesomea mambo ya Rangi za kuvaa, jinsi ya kumechi nguo zako kwa mpangirio, sio kama waenda shambani. :) Msikose, Andikeni matatizo yenu kuhusu kuvaa. Halafu tutawaonyesheni jinsi ya kupendeza hata kama huna nguo nyingi, .Ameni. Nawapenda sana. Ila kabla hujaendelea na video hii kumbuka, video hii na video zangu zote ujue kuwa, kila nachosema ni kile ambacho mimi nafanya, Jaribu au acha ni uamuzi wako mwenyewe, Sikulazimishi wala kuhimiza, bali fanya hivyo kwa uamuzi wako. Sipingi na sishauri Umpinge au kuacha matibabu yako uliyoandikiwa na Dr. wako. Kwa tatizo lolote litakalotokea, madhara au chochote kila ni ulikuwa uamuziwako mwenyewe. asante.. . Nifuateni Pia katika Instagram kwa Jina hili: INSTAGRAM: @siriyamwanamkemkakamavu EMAIL Adr: siriyamwanamkemkakamavu@gmx.de

Category

Show more

Comments - 1