Duration 8:2

HII HAPA MIFUMO 2 HATARI ya Kocha Mpya PABLO SIMBA | Wanakuja Kama Nyuki

90 518 watched
0
228
Published 7 Nov 2021

#simba #simbaleo #simbasc #kochampyasimba #kochapablofranco #mifumoyakochapablosimba

Category

Show more

Comments - 43
  • @
    @pcpoint12243 years ago Geita wanaijua na wameivuruga makolooo. 1
  • @
    @abusultanzimbawy5013 years ago Play nzuri sio mpishi tu. Bali mara nyingi yategemea mchele wa kupikwa plau.
  • @
    @tumwesigembuga2063 years ago Nimefurahi sana kama mm mwanasimba kuona wanatuletea kocha mkuu mi nina matumain nae kocha wetu. 1
  • @
    @issahamis27793 years ago Simbaa. Burudan naitwa issa kindege karibu kocha. 1
  • @
    @stephanophidelis3013 years ago Ajibu apewe nafasi katik kikosi cha kwanza. 1
  • @
    @marcobulili43413 years ago Hyo mifumo kwani inawachezaji sasa? Mtamaliza bucha nyama ni ileile. 2
  • @
    @daudcharles87323 years ago Utoporo mjipange mipango huku imeiva pira benabeu. 2
  • @
    @abusultanzimbawy5013 years ago Wachezaji wa madrid ilikuwa na wachezaji sio kolokolo usifananishe plau ya pishori ya kenya na michele ya mkate wa sinia.
  • @
    @kalebphilip34263 years ago Kwa koch' a huyu ubngwa kwa smba ni january tu. 3
  • @
    @mariuskagoza11693 years ago Utakapo kutana na mayele utatoloka bila kuaga. 1
  • @
    @rajabumkono63073 years ago Apewe nafasi coacher mrundi aipeleke time kuzuri. 1
  • @
    @lutegomakoyeluhahula15543 years ago Kwa Yanga hiii,atajitimua,atatimuliwa au atatoroka na mifumo 2