Timu ya wananchi, Yanga SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mlandege ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Yanga yamefungwa na Waziri Junior kwa penati pamoja na Mukoko Tonombe. Tazama magoli.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz