Duration 25:33

Maajabu ya Mochwari // wanaotaka maji ya kuoshea maiti kuchapwa viboko

38 434 watched
0
135
Published 21 May 2021

Mtoa Huduma katika Chumba cha Kuhifadhia Maiti Mount Meru Arusha Bwana Fransis Costa Mkebezi Maarufu Rasta amesema kuwa wanawake wengi kwasasa wanaomba kufanya kazi ya mochwari kutokana na changamoto ya ajira huku akisema kuwa kwa wanaotaka maji ya kuoshea maiti kwa ajili ya mambo yao ya ushirikina wanawakubalia kuja na wanapofika wanawacharaza viboko kwasababu ni jambo ambalo halipendezi

Category

Show more

Comments - 0