Duration 21:9

Atayofanya Mo Dewji kwa Simba ndani ya mwaka mmoja

145 206 watched
0
789
Published 3 Dec 2017

Mfanyabiashara Mohammed Dewji ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wa Afrika, leo Jumapili December 3 2017 ametangazwa kuwa mshindi wa zabuni za uwekezaji ndani ya Simba SC kwa asilimia 50. MO Dewji ametangazwa kuwa mshindi wa zabuni hiyo hivyo katika mfumo wa kisasa wa hisa ambao utakuwa unaiendesha Simba, MO atakuwa na hisa asilimia 50 na hapa kaeleza ni vitu gani ataifanyia Timu hiyo kwenye mwaka wake wa kwanza.

Category

Show more

Comments - 142