Duration 7:52

MAHAKAMA YA RUFAA YAFUTA UAMUZI WA MAHAKAMA KUU KWENYE KESI YA DICKSON SANGA

711 watched
0
2
Published 5 Aug 2020

WATETEZI TV: Mahakama ya Rufaa imekubali sababu kadhaa za rufaa iliyokatwa na Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hivyo kufikia uamuzi wa kufuta uamuzi wa Mahakama kuu kwenye kesi ya Dickson Paulo Sanga iliyopinga kifungu cha 148(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Category

Show more

Comments - 2