@josphinedarani62033 years agoMasikini lulu mwenyezi mungu akufariji na mwenyezi mungu ailaze roho ya mama mahala pema peponi. 9
@
@janemapoz63603 years agoPole lulu umewajua watu wako waonaokujali big up mwijaku, mama wema, wema ns fidw. 2
@
@halimandinde58813 years agoInnalilah wainailah rajiun poleni sana mungu yupo pamoja nanyi. 7
@
@saumusalimuhassan24993 years agoInnalilah wainailah rajiun, poleni sana wafiwa, pole sana lulu. 9
@
@anjelinakasembe8453 years agoMungu hasafirishe kwaamani na mama yetu akapumzishwe kwa amani mahali pema peponi jikaze sana lulu. 4
@
@fatmasaid70933 years agoInnalillah wainalah rajiun allah ampe kauli thabiti nasi tulo baki allah atujalie mwisho mwema ameen. 5
@
@fredrickmatiku77833 years agoPole sana lulu diva kwa msiba wa mama yake mpendwa mungu ampe nguvu na uvumiilvu wakati huu wake mgumu roho ya marehemu ipumzike mahali pema peponi amina. 1
@
@jamilahrashed26423 years agoInnalillah wainnalillahi rajiun mbele yake nyuma yetu. 8
@
@aminaabdallah36443 years agoInnal lillah waina illah rajiun mungu awape subira ameen. 5
@
@hejopantumsifusimon213 years agoMmevaa kwaheshima ad rah mung awatangulie pole lulu. 1
@
@jorgettemwajuma54283 years agoPole sana mfiwa kazi ya mungu haina makosa. 1
@
@sheriibrahim67533 years agoInallilah wainaillah rajiun. Pole sana mtanga mwenzangu kuondokewa na mama ako. 1
@
@mwanahamis54873 years agoInnalilah wainailahi rajiuun poleeni saan lulu. 1
@
@jumaathman52523 years agoInna lillahi waina ilehi rajiun hakika sisi ni wa allah na kwake yeye tutarejea pole sana dada yangu diva allah akupe subra wakati huu tuko pamoja dada yangu allah akupe moyo wa ujasiri licha ya huzuni uliyo nayo uweze kumzika mama yako na kilicho baki ni kumuombea maghfira nakupenda sana dadangu diva. ...Expand4
@
@maryndullu12883 years agoNamuona mama wema, wema mwenyewe dadaake wema nuru sepetu jaman msiba wameubeba kama wao. 1
@
@muzafarsharif94653 years agoWameenda kuuza sura tu wakijua media ztakuwa hapo. 2
@
@peteryukunda92393 years agoWema nilivyomuonaga muda mrefu hadi sasa ana roho ya huruma mno, anajuauchungu wa mtu km wakesn mpendwa.
@
@nasramohamed33533 years agoInnalillahi wainna ilaihi rajighuun yarabby tujaalie mwisho mwema hakika mauti yanauma sana.
@
@roudhamahmoud7633 years agoMnapokuwa misibani mwa watu heshimuni sio mnafanya sehem za kucheka ovyo na kukumbatiana. 2
@
@dottohamisi98443 years agoKuna watu wanacheka kama hawapo msibani. 3
@
@fainajaffary40703 years agoWatu minywele waz kama wanaenda harusini yan misiba ya sasa hivi watu hawana khofu ya mungu kabisa.
@
@cheiknamouna20583 years agoUtadhani harusi mnakenyua nini sasawengine mna mapengo kama steve hapo.
@
@aickatesha58293 years agoYani wabongo mnatia aibu mnakua kama mnaomba matatizo ya wnzenu ili mkauze sura. 1
@
@Bayothomusic3 years agoUkiwa katika shida angalia hii
3 years agodiamond platinumz amchana kisomi alikiba baada ya kujitapa kusign Rich mavoko kwenye lebo yake ya kings music
> ..
@
@jumaathman52523 years agoInna lillahi waina ilehi rajiun hakika sisi ni wa allah na kwake yeye tutarejea pole sana dada yangu diva allah akupe subra wakati huu tuko pamoja dada yangu allah akupe moyo wa ujasiri licha ya huzuni uliyo nayo uweze kumzika mama yako na kilicho baki ni kumuombea maghfira nakupenda sana dadangu diva. ...Expand4
3 years agodiamond platinumz amchana kisomi alikiba baada ya kujitapa kusign Rich mavoko kwenye lebo yake ya kings music
> ..
Related videos for Tazama Maandalizi ya Kuusafirisha mwili wa MAMA yake LULU DIVA kuelekea TANGA:
hakika sisi ni wa allah na kwake yeye tutarejea
pole sana dada yangu diva allah akupe subra wakati huu tuko pamoja dada yangu allah akupe moyo wa ujasiri licha ya huzuni uliyo nayo uweze kumzika mama yako na kilicho baki ni kumuombea maghfira
nakupenda sana dadangu diva. ...Expand 4