Duration 4:10

STAILI HATARI ZA ULALAJI KWA MAMA MJAMZITO.

27 009 watched
0
160
Published 11 Jul 2020

STAILI NZURI ZA ULALAJI KWA MAMA MJAMZITO KWA USALAMA NA UKUAJI WA MTOTO TUMBON I. Afya na ukuaji wa mtoto hutegemeana sana na afya ya mama.hii huhusisha lishe bora na muda wa kutosha kupumzika kwa mama mjamzito. Leo tutajikita zaidi kuangalia ni namna gani mama mjamzito inatakiwa alale kwa usalama wake na kwa afya bora ya mtoto.Kwa kuangalia staili zote za ulalaji na ipi ndo hupendekezwa zaidi na ipi sio staili sahihi na Athari zake .Naomba tuwe pamoja kuanzia mwanzo hadi mwisho kujifunza zaidi.. Mwanamke ambaye simjamzito anaweza kulala staili yoyote anaweza kulalia tumbo anaweza lalia mgongo anaeza lalia ubavu wa kushoto na anaweza lalia ubavu wa kulia…Sasa wakati ni mjamzito ni muhimu mama mjamzito kuzingatia staili yake ya ulalaji ili kuhakikisha kwamba hamuumizi mtoto aliyeko tumboni..Katika miezi mitatu ya awali umbo la mtoto ni dogo sana kiasi kwamba mama mjamzito anaweza lala kwa staili yoyote…lakini inashauriwa kuanza kujizoesha staili nzuri ya ulalaji ambayo nakuja kuzielezea muda mfupi ujao.Mapema kabisa katika kipindi hiki ili awe na mazoea na isiwe kazi kwa miezi mingine yote ijayo ambayo itamlazimu kulala staili flani ili kuepuka kumuumiza mtoto. TUTAANGALIA STAILI SIZOTAKIWA KULALA WAKATI MAMA NI MJAMZITO. • Kulalia mgongo Mwanamke anavyolalia mgongo ukuta wa uzazi na tumbo hulalia sehemu ya chini ya tumbo na mgongo hii husababisha mkandamizo katika eneo hili na kusababisha tatizo la mwanamke kupata choo kigumu,tatizo la upumuaji,maumivu ya mgongo na matatizo la mzunguko wa damu,misuli ya miguu kukaza na kuathiri ukuaji wa mtoto. • Kulalia tumbo Kulalia tumbo ni staili hatari sana huwa na athari zaidi kwa mtoto, kulalia tumbo humkandamiza mtoto na kumfanya mtoto asiwe na uhuru kwenye kondo lake…ulalaji wa staili hii huweza kusababisha miscarriage(mimba kuharibika). Hivyo chonde chonde mama mwenye staili hii ya ulalaji anashauriwa asilale satili hii kabisa. • Kulalia upande wa kushoto. Ulalaji wa staili si mbaya sana na si mzuri sana…haishauriwi kulala staili hii kwani mwanamke mwenye ujauzito akilala staili hii ukuta wa uzazi hulalia Ini la mama mjamzito hivyo haishauriwi kulala upande wa kulia • Kulalia upande wa kushoto Kulala upande wa kushoto ndo upande bora na mtoto huwa husru kucheza cheza hakandamiziwi na anakua comfortable kabisaa anapata kiasi cha oksijeni cha kutosha na hivyo anakuwa na ukuaji bora na mama atajifungua mtoto akiwa na afya bora kabisa...Hivyo staili ya kulala upande wa kushoto ndo staili (position) bora kabisa..mama akichoka kulala kwa upande wa kushoto anaweza lala upande wa kulia kwa muda mfupi kisha kurejea upande wa kushoto kwa muda wote…kwa mtoto Lakini pia wakati mama anapoamka kutoka usingizini aamke kwa ubavu wa kushoto taratibu kisha akae ndo asimame. Naamini utakua umeelimika na elimu hii nlikua na kumbushia kama mbado hujasubscribe basi fanya hivyo bonyeza alama ya kengele kupata taarifa punde tu,tunapokuwekea masomo mengine muhimu kama haya,lakini pia share na wengine ili wasipitwe na masomo yenye kuelimisha kama haya.

Category

Show more

Comments - 26