Duration 4:54

MATUKIO YOTE: KILICHOTOKEA KWENYE KESI YA WEMA SEPETU/ AWAKIMBIA WAANDISHI, TAYARI WAMESHANIONA

4 111 watched
0
18
Published 24 Jun 2019

Kesi ya malkia wa filamu nchini Wema Sepetu imeendelea kusikilizwa tena leo Jumatatu na dhamana yake imekubaliwa kuendelea baada ya wiki iliyopita mahakama kuamuru kupelekwa gerezani kwa siku saba kwa kosa la kukiuka masharti ya dhamana. Kesi ya Wema imepangwa kusikilizwa tena Julai 4, 2019.

Category

Show more

Comments - 5