Kuelekea Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM) leo tunakuletea mubashara Mkutano wa Halmashauri Kuuu ya CCM(NEC) kinachofanyika jijini Dodoma ili kuweza kujua ni mgombea gani atakiwakilisha chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa Urais Zanzibar.
Tayari majina matano yalishapitisha hivyo yamechujwa na Kamati Kuu ya CCM na kubakia matatu ambayo yatapigiwa kura na wajumbe wa NEC ili kumpata mgombea wa CCM, Zanzibar