Duration 16:25

KWA MARA YA KWANZA FABIAN NA ZAHIR WAONGEA MAZITO MGONJWA KUANZA TIBA | KANSA | CHIPS

13 556 watched
0
262
Published 8 Jun 2021

Category

Show more

Comments - 251
  • @
    @subiraboi93973 years ago Subhana allah yaarab tunajuwa huruma yako n nyingi kuliko yyote ya allah tuhurumie waja wako na uwape shiffaa wagonjwa in shaa allah. 1
  • @
    @caslidajosephat89123 years ago Jose msafi kweli duh nimekupenda jose, all in all mm napenda mnavyojituma hongereni na wote mliotoa michango. 6
  • @
    @mouwanahamisi82163 years ago Mung ataleta wepes in sha allah polen san kaka zahir na team yako mung awatie nguv afya subira na uvumiliv. 7
  • @
    @asmaally99583 years ago Duu pole sana mungu atafanya wepesi ilamdadilike kichwani. 4
  • @
    @zakiamsafiri123zakiamsafir73 years ago Allah atawaongezea nyote mliotoa mungu atamuafu kakayetu ataponatimu maxmamu allah atawalipa kwa kila jema. 16
  • @
    @janethmagemakwakeliinauma35813 years ago Hongera kaka kwakazi nzuri mungu akulinde.
  • @
    @fatmamamlo78823 years ago Alie wavunja nguvu yule fadina wallah watu wamekata tanaa allah alete wepesi tujisukume michango iwe mingi inshallah. 3
  • @
    @marialekinyi83823 years ago Mungu akuongoze kaka, katika majukumu yako, na mungu wa mbinguni amfanyie wepesi apone ili alee familia yake.
  • @
    @asiaghadija83333 years ago Subhanaallah allah akupe shifaa yaharaka. 1
  • @
    @ummymzee51593 years ago Allah atamughafu inshaallah kuugua sio kufa kuumwa ni ibada na madhambi hupunguziwa. 2
  • @
    @kisalaTV3 years ago Asante mungu kwa afya uriyo nipa, sio mm ni msafi sana ila ni kwa upendo wako, pole sana kaka mungu atakusaidia utapona. 1
  • @
    @munirachangawa29283 years ago Allahu yashfik. Mungukuchanga kaka zahir. 1
  • @
    @dottohamisi98443 years ago Hongereni sana kwa kazi mzuli sana mwenyezimungu atakulipa inshallah atapona. 1
  • @
    @munaahmed84993 years ago Subhannallah hujafa hujaumbika inadam tuwacheni majigambo ktk dunia hii dahh
    kaka allah atakufanyia wepes utapata afuen insha allah.
    1
  • @
    @mussamivache49863 years ago Vipimo vimeonesha anaumwa nini jmn, alafu msiongeze watu wengine hadi hawa waudumiwe kwanza ndugu maximum ili msilimbikize wagonjwa mungu mwema awape afya njema atapona inshallah. 27
  • @
    @fariarizaq75283 years ago Mashaallah mungu atakupa shifah inshaallah kaka na zahir mungu akubariki sana inshaallah na wesako pia. 1
  • @
    @ameenaameena12243 years ago Mungu ampe shifaa yarabi dua kwako kaka ghangu. 3
  • @
    @halishmwarua29573 years ago In sha allah mungu hampe shufaa ya haraka huyu mgonjwa hapunguze chips hale ugali na mboga ni wazo langu tu ndio hapate nguvu. 6
  • @
    @Awatee3 years ago Inshallah allah awafanyie wepes awahifadh dunian na akhera awape umri mref wenye kheir nanyi amiin. 4
  • @
    @nasseradel97843 years ago Poleni kaka zangu mungu atasimama nayi.
  • @
    @awenasuleiman45193 years ago Zahir unajitahid sana allah asimame nawe. 12
  • @
    @roselambert67003 years ago Mungu awabariki sana wote kwa upendo mkuu.
  • @
    @sharinv88643 years ago Pole sana mgonjwa mungu akufanyie wepesi utapona. Jamani heri mkono utowao kuliko unao pokea ulicho nacho towa ili uweze kubarikiwa unapata watu wana fedha . ...Expand
  • @
    @nuruheartaman34663 years ago Dah mungu wasimamie mnapitia magumu sana. 1
  • @
    @alibell52463 years ago Pole sana mgonjwa kwa kuumwa allah atakuponya inshaallah. 1
  • @
    @dechaggagirl16143 years ago Fabi bwana in shaa allah atapona mgonjwa wety kwa uwezo wa allah.
  • @
    @violethswai80613 years ago Mwenyezi mungu awabariki na kuwalipa kwa wema wenu.
  • @
    @nasraabdallah8503 years ago Sub hanallah pole sn kaka maskin allah atakuwaf inn shaallah utapona.
  • @
    @hanifatanzania72583 years ago Subuhanallah allah ampe wepesi apone lnshallah. 12
  • @
    @ashuramhando52853 years ago Zahir wallah wewe ni zaidi ya ndugu na allah alikuchagua una moyo aliliona hilo hakika wewe ni wakwake atakulinda. 2
  • @
    @hamidaalhabsi85683 years ago Mungu atampa nafuu inshallah yaarabi atapona. 1
  • @
    @Zahrazahra-ue7bp3 years ago Jamani twende mbere turudi nyuma uyo mwanamke ata akidamka muimbiri atoingia ndani kwasababu ana mtoto na vire mgeni allah awatirie wepes mnao msuurikia kua na subra zahri inshaallah. 1
  • @
    @sabihahamadi22873 years ago Subuhanallah yarabi mpe shifaaa huyu kaka naumiya kwakweli.
  • @
    @khadijasalum23023 years ago Allah yashfii yarrab pamoja na team ya maximum tv. 7
  • @
    @rizikiabdalla33083 years ago Yarabi tupe mepesi usitupe mazito yarabi yaallah mpe shifaa mjawako huyo mpunguziee maumivu yarabi. 1
  • @
    @sadasalum87783 years ago Kweli ni changamoto kweli kaka zahiri poleni sana, allah awanyooshee mkono inshaallah afanye wepes sana ktk hilii amiin. 1
  • @
    @dorisurio80013 years ago Poleni sana. Mi ningekushauri mwanangu zahir. Hiyo nauli ya 200 mngemtafuta mama lishe mstaarabu awe anampa chakula na chai, inaweza kutumika hata siku . ...Expand
  • @
    @jasminjuma63903 years ago Subhanallah yarabi mfanyie wepesi mja wako huyu. 1
  • @
    @mkosakuumbwamwendazake42543 years ago Fabby nyoa nywele bana uwe vizur kaz yko hairuhus uwe ivo kkangu asnt kwajuhud zenu max tv. 3
  • @
    @rehemahramadhani34283 years ago Daah. Allah. Atamsaidia. Atapona. Nyie. 2. Hiv. Nywel. Zenu. Munyoe. Muwe. Kawaida. Il. Huy. Wifi. Anaonekan hajawai kufika. Dar es salam. 5
  • @
    @fsaad51163 years ago Zakir silazima aende kila siku kama transport ndio ghali bora medical hiyo starehe ya kula badae ale tu kawaida mambo ni mengi. Mufanye yalo muhimu ya matibabu.
  • @
    @christinatarimo60263 years ago Kaka huyu mama awe anaenda mara chache kwa wiki. Hiyo 200 ya nauli per day ni hatari. 3
  • @
    @mouwanahamisi82163 years ago Leo nmewah si haba ngoj niendelee kusikiliz nishushe dua. 3
  • @
    @fsaad51163 years ago Jamani wako sawa kina fab musiwaingilie maisha yao jamani.
  • @
    @roseatieno66913 years ago Mashalla mungu atatenda. Fabian kumbe anaongea clean kabisa. 1
  • @
    @saadiaali56093 years ago Na apunguze kula kuku pia ajihurumie na ajitambuwe yy ni mgonjwa amekuja kutibiwa pesa ni za kutumwa na wananchi sasa ajihurumie maana kuna mke na watoto. 1
  • @
    @halimakihame17443 years ago Da mtihani kwani wale wa dada hamjawapata mana hapo ndipo wanapo takiwa wasapoti huyu mama. 1
  • @
    @QwQw-tr7gy3 years ago Wagonjwa wakiwa weng michango itadolola. 8
  • @
    @zubedaliame4743 years ago Mtihani kwakweli ningekua karibu ningemsaidia huyu dada kumpaa kapani ya kupelika muhimbili.
  • @
    @Awatee3 years ago Polen kaka zangu allah awape wepes na subra insha allah.
  • @
    @ashasaid50613 years ago Kaka fabian pole kwa kazi nzito na kaka joseph. 1
  • @
    @tifababynchimbi84543 years ago Jmn hicho kidonda nikiona tumbo linauma ehe mungu amsaidie tu jmn. 10
  • @
    @fairamkhan47443 years ago Ka zahir jamn kwnn msingechukua chumba cha karibu na hospital ili kuepusha usumbufu wa usafir na hao walivo wageni ni changamito kabsa. 7
  • @
    @nadrahassan52413 years ago Jamani wasaidiwa waraisishieni wanao wasaidia unataka kula vizuri unadhani pesa inatoka wapi.
  • @
    @salamanauthartanzania63013 years ago Kaka zahir jitahidi ukileta mgonjwa dili nae hadi apone ndo ulete mgonjwa mwingine' ukileta wagonjwa mfululizo wengine watakosa msaada kaka. 4