@sundayharris85494 years agoSpeech yako inamlenga mtu mmoja au chama kimoja na wala sio watanzania wote kama unavyosema. Ukumbuke sio watanzania wote ni wanachama wa vyama vya siasa,. ...Expand1
@
@mragahpallangyo62614 years agoPlan may change but purpose is permanent come back again the hero lissu, 13
@
@zabronijoseph7284 years agoSafi nimefurai sana namkubari lisuu kula yangu umepata. 3
@
@saidabdul36954 years agoSafi sana kamanda tunakuombea dua sana mkuu. 9
@
@ayubusikagonamo38754 years agoMh. Rais karibu nyumbani uje utukomboe maana hakuna aliyesalama. 6
@
@abrahamhassan3514 years agoGood speech lissu kubwa tunalohitaji tanzania kwanza katiba mpya inayotokana na maoni ya wananchi ambao ni watanzania katiba hiyo iwe na faida na manufaa. ...Expand16
@
@sammysammy54834 years agoMh tundu lissu kura nyingi 2020 safari yako niya matumaini san kanda ya kaskazinikama ni vita tuko tayari kuitoa ccm madarakani. 5
@
@mwebraniablessed79674 years agoMungu nawe milele. Ushinde kwa kishindo kinene. Unafiki uwatoke wanaojifanya hawakuelewi ila ndio wa kwanza kulalamika maisha magumu. Unafiki haujawahi. ...Expand9
@
@robartgershom73454 years agoMheshimiwa lisu tunakutakia kilalaheri katika ndotohiyo. 6
@
@papaagtz4 years agoFuraha yangu ya kwanza kuona bado unaishi hakika mungu ni mwaminifu sana. All the best kamanda.
@hamisiramadhani29714 years agoUmeongea maneno muhimu sana, hongera leo ndio nimekuelewa nami nahamia chadema kama utapewa ridhaa ya kugombea uraisi na chama chako, na kura yangu utaipata. 1
@
@antonynyachi54554 years agoMungu akubariki sana juu ya ndoto za zako za kuwania nafas hiyo ya urais 2020.
@
@eliakanyika44224 years agoHuyu jamaa ameongea ila du! Ngoja nitulie mimi. 6
@
@danielloyani50954 years agoHongera kwa hotuba nzuri iliyogusa kila mtanzania. 7
@
@willybayyo68064 years agoCome back, itd gods plan for you to lead tanzania. 15
@
@saidabdul36954 years agoTupo nyuma yako kamanda wangu wewe jembe unajua watanzania wana msada gani wewe kwahiyo utaenda kutengeza nchi matakwa ya watanzania. 6
@
@linamakau61494 years agoKama time ya uchaguzi haitakuwa huru kama ambavyo kwa sasa sio huru? Itajuwaje kwasababu kura utapata nyingiusalama wa mali yetu? Kura) 4
@
@emmanuelntalima17174 years agoUnapongeza uongozi wa kikwete leo? Umesahau kuwa mlimuita dhaifu? Mkatamani nchi itawaliwe na mtu mkali? Mbona mnakuwa vigeugeu? 6
@
@thedriver.michael.39754 years agoThe day we see the truth and we don' t speak is the day we die" 1
@
@dullaupepo97674 years agoSasa takuunga mkono kama kapeni utafanyia nje tupo pamoja tutakuja huko belgium kukupa saport ya kampeni yapo mengi tu. 15
@
@ngwasumasuzuki80044 years agoBaba nimekusikiliza vizuri sanaa animekuerewa tukopamoja. 8
@
@emmanuelmwandambo11914 years agoKweli kabisa tunatia huluma kura yangu inakuja kwako tumbe mungu mwana halakati namba moja tz. 1
@
@leeaglepropeller45494 years agoSikuu ya uchaguzi nambeba fasta mke wangu, mchepuko wangu, dem wang. House girl wangu, watoto wangu na familia yangu nzima adi paka na mbwa wangu wanisindikize kwenda kumpigia kura tundu lissu. 2
@
@ramrashid78594 years agoHongera kwa kuwa miongoni mwa watangaza nia lakini ingerudi tuu. Ila bado sijasikia sela zako zaidi ya madhaifu yaserikali. 1
@
@getuproty85404 years agoKaribu kaka, kura zoteazidi kukulinda kama alivyokulinda na sasa unaishi. acha mungu aitwe mungu. Hakuna wa kumshinda.
@
@ibrahimmwendo50764 years agoUrais haupati wewe. Magu anatosha unanimalizia mb. Zangu kwenda zako fyuuu eti urais watakupa kura hao majuha wenzio. 7
@
@sammysammy54834 years agoKura yangu huwezi kosa na familia yangu kila la kheri nimekumic san mara ya mwisho kukuona ulipokuwa nchin kenya ukiwa unatibiwa nikakuombea mungu na umepona your welcome tz my president. 7
@
@amotowntz63814 years agoTundulisu raisi wa jamuhuri ya muungano wa tanzania, kura yangu me ni yako. 9
@
@nicolausnicolaus7344 years agoLisu njoo huku wanani tulio wengi hata chai ishagoma niubabe tu tumemchoka wajaja mapoyoyo ndoo bado. 10
@
@adrianbloodjesus60674 years agoHayo ni maneno tu magufuli anakubalika bhana hana upinzani, tena magu anapita kwa 90% ya kura. 9
@
@ceciliajimmy56524 years agoNauona umuhimu wa kuwa na watu wenye uzalendo hata wanapokumbana na matatizo wanabaki imara, hawakati tamaa mungu awabariki wote wenye mapenzi mema. 1
@
@mohamedturanardan88714 years agoNaomba kwa nia safi ukawa (ukitoa cuf wanafiki) waliobaki, kaeni pamoja muunde timu madhubuti, chama mlichokuwa na wasiwasi nacho kama cha mbatia achaneni nacho, nendeni kitim msiende mmoja. Plz. Kura mtazipata nyingi. 1
@
@petermkoma76374 years agoMungu akupe maisha marefu we mtu ili kizazi hichi kikuelewe.
@
@malkavoice25704 years agoHuu mwaka lazima nipige kura, yakwangu unayo mheshimiwa nimekupitisha tyr wewe ni rais 2021. 12
@
@balikiwakibona80304 years agoKwa kweri lissu mungu akulinde wewe ni raisi. 4
@
@jacksonpeter38404 years agoUnafaa sana kugombea uenyekiti chadema.
@
@deogratiasmassawe45434 years agoAmn mng atbrk mwenyew myonge myongen hk yk mpemn. 1
@
@ngulukofundy20124 years agoTatizo ni tume huru baba angu hutuba yako imenitoa machozi. 2
@
@rashidubruhani89814 years agoUchumi wa nchi unapaa ww hacha ushamba nchi iko vzr sana hii.
@
@jacksonpeter38404 years agoUrais wa tz mzee ni ndoto za mchana yupo jpm baba lao acha ww labda wakupe urais wa ubelgiji. 1
@
@masrergaudens39674 years agoKura utapata nyingi sana lakini hatuna hakika kama zitahesabiwa na kutangazwa. 7
@
@deogratiasmassawe45434 years agoKiukwel kura yamg nimuhm xn kwak nimekuatilia tangu ukiw mautut mpk ss unasimam nakupaz saut lisu oyeee. 8
@
@jacsonmahende20284 years agoUongozi ni kupokezana lisu anatosha kwanza ni mwanasheria atatusaidia ktk kesi. 1
@
@rashidubruhani89814 years agoMjoo msema ovyo haujui hata la kusema tunataka kiongozi baada ya jpm wa kuendeleza nchi siyo ww unataka tena kuturudisha nyuma tudai uhuru 61, unasifia. ...Expand2
@
@cuthbethajetu21484 years agoKura yangu umeipata haina utata mheshimiwa. 7
@
@muniruwahid66484 years agoGreat leader tunakusapoti kwa nguvu zoote. 4
Related videos for LIVE MHE TUNDU LISSU AKIZUNGUMZA NA TAIFA KUTOKEA NCHINI UBELGIJI:
acha mungu aitwe mungu. Hakuna wa kumshinda.