Duration 10:32

JACQUELINE MENGI afunguka MAZITO ‘Mume wangu hakuwa amechanganyikiwa’ aambatanisha RIPOTI ya daktari

29 355 watched
0
302
Published 20 May 2021

Mjane wa Marehemu Dkt. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi ameibuka na kueleza kwa ushahidi wa ripoti ya daktari kuwa mumewe hakuwa amechanganyikiwa. Hatua hiyo imekuja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuukataa wosia uliokuwa ukidaiwa kuandikwa Mengi /watch/QrDl22jtOfJtl

Category

Show more

Comments - 218