Duration 32:5

WAZIRI AWESO AMBANA KIONGOZI ALIYEMDANGANYA, Ampigia SIMU KATIBU MKUU - WAONDOE

19 218 watched
0
77
Published 3 Mar 2021

🔴#LIVE​​​: WAZIRI AWESO AMBANA KIONGOZI ALIYEMDANGANYA, Ampigia SIMU KATIBU MKUU - "WAONDOE"... WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, ameendelea na ziara yake ambapo amekutana na Madudu baada ya kiongozi kumdanganya, Waziri Aweso kutokana na hayo amemuagiza Katibu mkuu wa Wizara kufumua uongozi DDCA.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 45
  • @
    @user-od7kl1eb8d9 months ago Mwanangu juma mungu akupe maisha marefu.
  • @
    @abdulsaleh46403 years ago Mwenyezi mungu azidi kukulinda tunakuombea sana waziri wetu uendelee kuchapa kazi. 1
  • @
    @charesslutandula2459last year Uwesoo watu warakufaaa mguukwamgu nimeipenda sanahiyo.
  • @
    @hamidaomar51373 years ago Mheshimiwa mungu akulinde umetukumbusha baba alietangulia mbele yahak.
  • @
    @charesslutandula2459last year Nimekupenda sana wanafanyakazi kimazoea.
  • @
    @enockngohel57373 years ago Kama umesikie neno viko store twende ukanionyeshe gonga like hapo twende pamoja. 1
  • @
    @zahorhaidi45253 years ago Wallah ikiwa hivo kila idara watu watanyooka kazi zitafanyika kwa halali.
  • @
    @efrahfarahahmed89603 years ago Wazir anahuruma sana angekuwa magu we.
  • @
    @kasimally5651last year Kuna neno limetamkwa nakuheshim gonga like hp.
  • @
    @ameenaabdood29743 years ago Nakupendea icho ndg yng umuonei mt na unasema ukweli.
  • @
    @user-vh3yh2ec8r7 months ago Yn ww inabidi uwe raisi wa baadae ili uinyesha tz.
  • @
    @sanisani52663 years ago Wana viuza sana hamna kitu stoolah ingekuwa ukaguzi huu kila siku wangenyooka. 1
  • @
    @frankkaijage97263 years ago Waziri simama hao watakupaka matope. Washezi tuu. Majizi tuu.
  • @
    @mariamjuma41363 years ago Mwalimu na wanafunzi jmn mbadiriki ss izi zama nyingine
    watu wazima na family zenu si aibu iyo
    wajibikini jmn kazi ni zamana kazi id="hidden1" ni ibada fanyeni kazi kwa uadilifu
    pole sn mh aweso unajizibiti at hasira zako
    maana unaweza kurusha at kofi kwa hasira mungu akulinde
    . ...Expand
  • @
    @tumahamza89723 years ago Anatamani ardhi ipasuke atumbukie. Hivi kwanini watu hawataki kubadilika? Wanafikiri watasema uongo na waziri aitikie tu. Sie kipindi hiki. Hizo zam id="hidden2"a zilishapita. Sasa hivi kazi, maelezo kwa evidence. Safi sana. Vijana oyeee. ...Expand
  • @
    @edyhasan90713 years ago Alie sikia kuwa mimi nataka niwasaidir ndio maanaa nini tenaa hi utafelii waziri utatumbiwaa.
  • @
    @charesslutandula2459last year Hao wamekalia uchumi hata mishahara wangejilipa wenyewe.
  • @
    @tumahamza89723 years ago Tena huyo peter anaonekana ndio kiongozi wa uwongo.
  • @
    @mankamassawe12663 years ago Auwe comments tuu mimi hoi binadamu tuna kaz sana mtu hujajua chanzo unakurupuka kujibu na kufurahia eh kwel hii ndio tz.
  • @
    @ameenaabdood29743 years ago Mkulya bishoo km muhaya lkn unapiga kz vzr nakukubali nitakupa mwanangu wa kiahaya bila mahali.
  • @
    @abiollashayo56982 years ago Ukubwa rahahata wakubwa zako, vijana rika lako. Yaan raha utamu.
  • @
    @ameenaabdood29743 years ago Yn ataviongozi wengine waige mfano wako.
  • @
    @muebraniamuebrania1453 years ago Viongozi wa juu nikama mko na dhamira ya kufanya kazi km mh rais alivyodhamiria kutusaidia raia, lakini mliowaweka uko chini wengi niviongozi wetu, safari ya maendeleo bado ngumu sana.
  • @
    @edwinmbelle42073 years ago Waziri tunaomba tusambaziwe maji yombo vituka, buza dsm ni miradi wa siku nyingi sana!
  • @
    @catherineplatnumz33093 years ago Muheshimiwa waziri mwenyezi mungu akupe nguvu daima kweli amekuongopea lakini umeweza kumsamehe inchji ila siku nyungine asirudie mimi kama raia wanchi hii akirudia tena kukudanganya nitakukumbusha ili umuondoe kazini. 3
  • @
    @jenifamtima93253 years ago Yaani ndio rahaa ya kuwa na mawaziri vijana. Babu kama ufanyi mazowezi leo utaipata. Hahahaa! Akuna kitu hapo wanadanganya, jana wamemdanganya rais id="hidden5" eirpot leo waziri. Tanzania yetu. Awaishi awoo wako kama vile mchwa, madudu tupu, kaguweni na elimu zao wanapeana kazi kienyeji,. ...Expand 1
  • @
    @mariamjuma41363 years ago Mwalimu na wanafunzi jmn mbadiriki ss izi zama nyingine
    watu wazima na family zenu si aibu iyo
    wajibikini jmn kazi ni zamana kazi id="hidden6" ni ibada fanyeni kazi kwa uadilifu
    pole sn mh aweso unajizibiti at hasira zako
    maana unaweza kurusha at kofi kwa hasira mungu akulinde
    . ...Expand
  • @
    @tumahamza89723 years ago Anatamani ardhi ipasuke atumbukie. Hivi kwanini watu hawataki kubadilika? Wanafikiri watasema uongo na waziri aitikie tu. Sie kipindi hiki. Hizo zam id="hidden7"a zilishapita. Sasa hivi kazi, maelezo kwa evidence. Safi sana. Vijana oyeee. ...Expand
  • @
    @jenifamtima93253 years ago Yaani ndio rahaa ya kuwa na mawaziri vijana. Babu kama ufanyi mazowezi leo utaipata. Hahahaa! Akuna kitu hapo wanadanganya, jana wamemdanganya rais id="hidden10" eirpot leo waziri. Tanzania yetu. Awaishi awoo wako kama vile mchwa, madudu tupu, kaguweni na elimu zao wanapeana kazi kienyeji,. ...Expand 1