Duration 11:28

APIGWA NA KUTEMBEZWA MTAANI NA MASHOGA ZAKE KISA UMBEA/

53 459 watched
0
514
Published 14 Jun 2020

Binti huyu kutoka maeneo ya Ilala jijini Dar es salaam anamalalamiko yake kuhusu mashoga zake aliokuwa akiishii nao nyumba moja na kuzungumza nao mambo mengi tu.Anasema marafiki hao wamemgeuka na kumwambie yeye mmbea ilihali maneno walikuwa wakiyasema wote,lakini mwisho wa siku baaada ya kugombana walimvizia na kuanza kumshambulia kwa maneno na kumpiga kisa tu umbea.!Msikilize binti mwenyewe akieleea tukio zima lilivyokuwa #geahhabibu #GeahTv

Category

Show more

Comments - 410
  • @
    @latriciah01augustino674 years ago Ndomaana sitaki ushoga mimi
    shoga angu instagram.
    62
  • @
    @kitkat-pr4mv4 years ago Hehhehe mie shoga angu mamaangu staki unafki miee. 54
  • @
    @niaanthony95884 years ago Sijawahi kusikia wanaume wamesutana sijui wanawake tunakwama wapi alafu baadae ohoo wanaume wanazalilisha wanawake wakati ss wenyewe ndo wa kwanza kudhalilishana lo! 39
  • @
    @MsMayna-ih6uq4 years ago Urafiki mwingine sio wa lazima. Hao sio marafiki kama wanakuletea maafa. Marafiki wanatakiwa wakuambie unapokosea na kukurekebisha ili uendelee kujielewa. 6
  • @
    @janetdaniely79452 years ago Daah so sad pole mamy serikari hiingirie kati ili jambo aki! 1
  • @
    @khadijaamour76544 years ago Kusutana msutane ila sio kuvuana nguo kupigana kuzalilishana pia vijana tafteni kazi mfanye mana mkiwa bzy na kazi hamtakua na muda wa kuzua uongo mtaani. 26
  • @
    @alirahma89674 years ago Wallah inauma dadamahakani mmbwa hao, hawana hata haya, malaya wakubwa. 13
  • @
    @halimaomari75894 years ago Hawa wamama wa uswahilini wengi hawana kazi za kufanya ndio maana wanafanya vituko hivi. 16
  • @
    @evaristmrope4 years ago Dah ila wamekosea kujichukulia sheria mkononi je angepigwa na kufa? Matatizo mengine huwa tunajitakia wenyewe. 36
  • @
    @user-sh5wo9dc4t4 years ago Subhana allah; mungu atusamehee kwakweli maana unavyomfanyia mwenzako ujue nawe utafinyiwa na kama sio ww basi ndugu zako au wanao; mwenzio akikosea mwite mwambie na sio kumzalilisha. 12
  • @
    @asiaabdala884 years ago Pole dada wenyewe wamekushusha mungu atakukweza, dunia ningumu. 2
  • @
    @isunga19644 years ago Mmmh wanawake jamani ndoo maana marafiki wangu wengi ni wanaume mpaka baba alikuwa anakasirika jamni. 6
  • @
    @zhmzzz90614 years ago Subhanaallah, hawana haya looh, mwezi mtukufu mwenzenu kafunga mnampiga na kumdhalilisha mtaani hivo loo, kaa nao mbali hao sio shoga wazuri, sheria ichukuliwe mkondo wake.
  • @
    @ummoislam48324 years ago Mmm. Hata hamna cha ramadhani mwenzenu amefungaatakusimamia. 6
  • @
    @camillacaroline89964 years ago Wanawake sijui tunakwana wapi, mnamdhalilisha mwanamke mwenzenu as if nyinyi ni wakamilifu, pole sana dada mungu atakulipia.
  • @
    @bibiemohd38474 years ago Hamna kazi za kufanya mkae majumbani mwenu, vibaraza sio vizuri. 1
  • @
    @bintiiddy70434 years ago Duh ndio maana spend kuwa na marafiki wasio jitambuwa. 5
  • @
    @user-eg1dr6so4c4 years ago Mm ndomaana sitaki ushoga
    shoga yangu mkubwa ni facebook.
    16
  • @
    @asiakilea25904 years ago Hawajamtendea haki kabisa wote wambea wamemuonea tuu. 14
  • @
    @julianayesayamwailolo82404 years ago Namshkuru mungu mm shoga angu kipenzi mdogo wangu wa tumbo mojaa. Tunasogoaa wee yanaisha hapo. 3
  • @
    @manalalamry82854 years ago Imeniuma jaman kumchania mpk nguo alf kumchukuwa video. 11
  • @
    @nathalieswedy36534 years ago Wanawake sjui tunakwama wap mana apo wanaonyesha wanawivu pia wa maisha dah ndomn sna shoga. 3
  • @
    @arafakiloli7494 years ago Pole sana mpendwa. Sijui kama nitakua na shoga.
  • @
    @africandarling69254 years ago Mmh waje kwangu waone mbwa hao kweli mmemuonea kwa kuwa mnyonge do mtu hanitie kofi pwa mmhh aisseh. 9
  • @
    @sharifaabdullah68254 years ago Fear habibu vip ile ishu yayule mama anaumwa miguu alietelekezwa na mume wake tupe muendelezo dear nakukubali. 6
  • @
    @nyembogwazibaka86554 years ago @evarist mrope kwakweli c vizuri tena alifunga.
  • @
    @namisgiggah15714 years ago Ndio maana hawa viumbe watakua wengi motoni, yaan mambo ya peke yao hapa duniani. 8
  • @
    @namsamson34434 years ago Watu siku hizi wanapenda kujichulia maamuzi mikononi mwao. Inabidi wachukuliwe hatua kali liwe fundisho kwa wengine. 2
  • @
    @miriam57354 years ago @wanawake live mmeona tukio hili iko wapi haki yake na wamechukuliwa hatua gani? Imekuwa kawaida kwa wanawake kudharirishana namna hii, ukweli mm siku . ...Expand 15
  • @
    @lantaleonard2894 years ago Muangalie namakundi yacyo faa co vizuri.
  • @
    @salmafikirini48994 years ago Kwanza pole sana dada, na hakuna mtu asie mbea duniani, ila usikubali hakikisha unapata haki yako. 1
  • @
    @mozasaid38694 years ago Dah! Sijawapenda mlofanya kitendo hicho! Wenzenu wanapambana na maisha nyie mnagangaika na ujinga km huo! Wanawake wanafanya maendeleo nyie huko mnahadhiriana! Acheni ujinga! Muogopeni mwenyezi mungu! 1
  • @
    @tamimakhalfanikhani84032 years ago Laki tano kidogo dada angwambia million moja.
  • @
    @mohamedzaina85854 years ago Yaan ukishaona wadada/wamam wako zaid ya wawil et ni marafik hapo kuna kua hmna urfk ila ni unafki tu. Kwanza mnapat wapi muda wa kujichanagnya na watu kiasi iko. Acha yawakute yakuwakuta na ujinga wenu. 1
  • @
    @omanmuttrah41324 years ago Hivi mumpige hamekwenda polisi kuashitaki hili mumtibie mazaa kusema anataka pesa yakunilia kitandaa mlivyompiga mlitegema nini. 1
  • @
    @alsam48814 years ago Kuishi uswahilini ni kazi sana na inataka moyo, na elimu ya mjinga ni majungu.
  • @
    @elizakileo91254 years ago Mmh kazi kweli kuwa na marafiki wengi wasiojitambua ndio tatizo.
  • @
    @nadrahassan52414 years ago Dada pole sana ningelikuwepo wallahi wange ongea na ngum.
  • @
    @bbb6nnn5614 years ago Nawew latifa mwanangu ume zuba mbona tifa wangu moto wana kushinda kina tatu sisi wallah wakorofi sana pole mtt wangu.
  • @
    @hejmabohejhej94 years ago Shoga angu mwanangu, kazi yangu na bwanaangu sitaki shoga mie unafiki mtupu. 1
  • @
    @munaahmed84993 years ago Nm shoga yng mwanaume wang na dada yng mama sina alishatangulia lkn angekuwepo maa ndio eafiki kwakweli.
  • @
    @hawamvimba95144 years ago Hata km alisema c aliwaomba msamaha kwann waliamua kulzalilisha jamn yan wanawake wa hvy wachukuliwe sheria wafungwe tuu hao washenzi. 2
  • @
    @subiramohd18954 years ago Hee bongo mmezidi jamaani watu kudhalilishana tu dar jamani watu punguzenii sisi masikini ndo tunashida matajiri aaka wanatafuta pesa sisii kusutana tumkumbuke mungu jamanii. 3
  • @
    @mligosandrah78514 years ago Sheria ichukue mkondo wake kama. Kwa dada wa. Moshi. 3
  • @
    @hadija8464 years ago Unamuhoji vipi umemsaidiaje dada wa watu? Pole sana ndugu yaani haya mambo yanakera sana pumbavu zao hao machangudowa.
  • @
    @hellenmanzi47404 years ago Uzeni hata miogo nyie achen ushoga uyoga. 2
  • @
    @subirapowerpower82664 years ago Daah hivi kuna ulazima wakuwa na mashoga.
  • @
    @rechombaga58724 years ago Mmh napigwaje kwanza nawanawake wenzangu yani ni wangejuta pole dada walikuona mnyonge. 2
  • @
    @zaidankasamya22114 years ago Adi nimetowa machozi. Pole dada usiwasamee. 1
  • @
    @rogermwanawahunda8844 years ago Nenda nao mahakani ukawafunge hao kama wanakutanhazia unashida ya hela. 1
  • @
    @ameenasur6564 years ago Yan sis wanawake hatupendan siwez kumzalilisha mwanamke mwenzangu maana alivyo yeye ndio mimi nilivyo bola mngemsuta tu nasio kumvua nguo. 1
  • @
    @rinaalbaloushi29814 years ago Pole sana mie maisha yangu sina shoga wala simtaki shoga.
  • @
    @zulfatdidas3694 years ago Wanawake ndio maana tunadharaurika unaanzj kumfnya hvo mwnamk mwnzko kha. 6
  • @
    @fatmahobah10424 years ago Mfyuuu ndomaana sinaga mashoga cjui udugu mfyuu shogaangu mamaangu tu.
  • @
    @irenemacha74574 years ago Kukosa kazi mngekuwa na kazi msingefanya hayo mambo ya kipuuz. 1
  • @
    @seitali6244 years ago Huyo dada namjua mate acha urafiki nao.
  • @
    @zubedabakari58174 years ago Tumuombe allah atulinde na mitihani mizito ya duniani. 1
  • @
    @hawaynatimam9824 years ago Ushahidi wa video upo kwann asiwashtaki. 1
  • @
    @juliethhouseofdesigns1474 years ago Uyu latifa atakuwa mzuri kawazidi alafu anajielewa, kwahiyo wivu wanaamua kumtundikia lawama.
  • @
    @teychriss32484 years ago Uswahilini kuna vituko jama! Haya mambo bado yapo karne? 2
  • @
    @mligosandrah78514 years ago Mashoga sina kabisaaa yanii now wanajifanya wazuri kwajili nipo nao mbali.
  • @
    @wemakalamu35384 years ago Hapa pagechimbika jamani sikubali mambo haya.
  • @
    @rachelmsekena6034 years ago Ndo maana sinaga shoga wala rafiki kama alivyosema huyo mpambe hapo pembeni wanawake wote wambea. 3
  • @
    @ladylady84404 years ago Du hawa waliokufanyia hivyo hawana hata hofu mungu wanakunyia hivyo mwezi mtukufu mshatakie mwenye zimungu tu ndio kila kitu. 2
  • @
    @shammoha52974 years ago Pole dadaake. Lakini ndio ujui kuchagua marafiki. Ukimuona anakuletea udaku ujue huyo sio rafiki, kaa mbali nao.
  • @
    @AishaAisha-rh1fc4 years ago Ww dada saka pesa ujelipa kisasi kwa kila 1 mbuzi hao. 1
  • @
    @jamilamfumike74454 years ago Yani nilivo apa ningemkamata 1 nahakikisha ningekufa nae.
  • @
    @wamartincypo4 years ago Mungu wangu wanawake, kwanini unafanyia mwenzake hivi.
  • @
    @minazsaid24704 years ago Tatizo kubwa duniani kwasasa binadam tumekosa utu na imani imepotea.
  • @
    @estakapufi75824 years ago Mimi ningewashitaki kabisa uswailini kunavituko.
  • @
    @zulfamohamed45494 years ago Awo washitakiwe haki ifate mkondo wake siyo wangariwe t.
  • @
    @trinahansi52654 years ago We waangalie watagombana tu wenyewe kwa wenyewe.
  • @
    @sashaalimwakudza42174 years ago Saai mtoa pesa kwa kumuvulia nguo mwazenu.
  • @
    @mamawa3mamawa3214 years ago Huyu mwanamke achukue hatua kali na asikubali maneno ya kuelewana mtaani sheria ifate mkondo wake. 1