Ufugaji unalipa! Frank Mushi, mmiliki wa Frank Farms ambae pia ni wakili wa mahakama kuu, amezungumza na BizTV kuhusu ujasiriamali wa kilimo cha ufugaji.
Yaliyomo:
0:00 Mwanzo
1:28 Kwanini kilimo?
2:01 Wazo la kilimo lilianzaje?
3:27 Ulianza lini ufugaji?
5:00 Unagawaje muda wako?
7:47 Aina za kuku
11:30 Gharama za ufugaji
13:50 Changamoto ya kwanza
14:43 Changamoto ya pili
15:53 Changamoto ya tatu
17:30 Wateja wanapatikanaje?
20:27 Nifanyeje ili nianze ujasiriamali?
28:02 Jinsi ya kuwasiliana na Frank Farms