Duration 1:22

WANANCHI Wadai WABAKAJI TELEZA Wamerudi TENA KIGOMA, RPC AKANUSHA - HAO WAHUNI TU

1 247 watched
0
8
Published 21 Apr 2020

WANANCHI Wadai WABAKAJI TELEZA Wamerudi TENA KIGOMA, RPC AKANUSHA - "HAO WAHUNI TU" WANANCHI wa mkoa wa Kigoma wamesema matukio ya wanawake kubakwa na watu waliopewa jina la Teleza kutokana na staili yao ya ubakaji, yamerudi tena kwa sasa na walichoamua ni kuunda ulinzi shirikishi ili kuweza kuwanasa watu hao ambao wanafanya matukio hayo nyakati za usiku.. Kwa upande wa kamanda wa polisi mkoani Kigoma, Martin Otieno, amekanusha kuwepo kwa Teleza.. Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania

Category

Show more

Comments - 3