Duration 11:3

MIRATHI YANAYOTISHA: Kinyang’anyiro kati ya wanyama pori na binadamu

54 watched
0
0
Published 18 Oct 2020

MIRATHI YANAYOTISHA Idadi ya wanadamu inavyoendelea kuongezeka, wanaonekana kusongea karibu na mazingira wanamoishi wanyama pori, hatua ambayo imewaacha wanadamu katika kinyang’anyiro cha kuishi, kati yao na wanyama pori, athari za wanyama hawa kwa wanadamu, mifugo na hata mazao ya mashamba zikijidhihirisha. #TV47News

Category

Show more

Comments - 0